Nisamehe
Salmin Swaggz
37
Rap
Tekst piosenki
[Chorus: ]
Uliponifuata ulitaka nielewe
Maisha ya ubachelor noma, so nijipange
Nijipange nije kwako kuishi na wewe
Mapenzi yananichanganya vile mishe zako zinafanya unanipuuzia
Nashindwa kuvumilia, nachoka kuishi na wewe
[Verse 1: Salmin Swaggz]
Hey Hey Hey hol' up baby
Hua nabanwa mpaka nashindwa kucall up maybe
We unasema nimekua mgumu utagwida sumu
Kwa maana una-fume siku utapasuka maybe
Maneno yangu machafu yananuka
Haimaanishi kuna time sijakukumbuka
Haimaanishi upendo wangu umeshaanza kushuka
Utafute wapatanishi...aaah unakurupuka, but
Nakupenda kuliko kitu chochote duniani
Na sio utani kwa mnyamwezi ndo maana nikakueweka ndani
Singoji ugeuka kama FA una-shine ka nyota angani
Just believe what I say in my heart you the only one
Taji la Miss Mimi unapaswa uwe nalo wewe
Naelewa fika jinsi ulivyo, kuwa hutaki uchezewe
Mi ntakupa unachotaka mpaka usivyotaka upewe
Usinimwage utaniumiza kwa mawazo nielemewe
Please maa..
[Chorus: ]
Uliponifuata ulitaka nielewe
Maisha ya ubachelor noma, so nijipange
Nijipange nije kwako kuishi na wewe
Mapenzi yananichanganya vile mishe zako zinafanya unanipuuzia
Nashindwa kuvumilia, nachoka kuishi na wewe
[Verse 2: Salmin Swaggz]
Hatuhitaji bed in making peace
I was always there wouldn't even care we came to this
Daily unalalama, I should've watched on how I treat you
Down to Everything and ever just to keep it stick it witchu
Unajua, jinsi gani nakuhitaji maishani
Thinkin' bout the kids wanahitaji mama nyumbani
Na idadi kubwa ya marafiki hainifanyi kua funny
Mashoga zako ndo wana fiki ama nini unadhani
Wanakupa maneno, yanafanya unang'ata meno
Bila kujali kwamba najipanga, say "No"
Mchizi bado najipanga so usiamini neno
Haya maisha sio mashindano, ukiskia michano
Nakuimbia wewe tu wengine naona kama mifano
Chukulia poa, nikikuboa nikijifanya don't care
Siwezi zoa tu nikaoa sioni ka itakua fair
Sitaki tuingie madoa so nakunyenyekea
Mwingine awezi maana we pekee ndo unaniwezea
Tłumaczenie
Brak
Polecani artyści
Najnowsze teksty piosenek
Sprawdź teksty piosenek i albumy dodane w ciągu ostatnich 7 dni