Salmin Swaggz - Dope (Freestyle) - Tekst piosenki, lyrics - teksciki.pl

37

Rap

Tekst piosenki
We are... Yeah I said that we are Hii ni GoodNation, kill wanaobisha Na nimemechisha, all black everything Black car, black her, all black everything Nigga you can’t tell a thing, unahitaji Malafin Nahisi una malaria thing, I’m general Aladin Hili game nimelipuna now limelala chini Siko shame nimelichuna li kwenye lala bin Wamekurubuni mpaka shule umeshafeli Sio kejeli let me tell uliona heri Kuona watu wanavyokuita Makaveli Hey Marry tell Terry you no longer Hail Mary You’re 15 now I’m sorry for you cherry Naona wako wengi sana Watu wanakuja na mangoma mengi sana Rhymes zinavuja wamechuja Mexicana Na mi ndo nakuja maana nlishasema since jana I’m dope
Tłumaczenie
Brak

Najnowsze teksty piosenek

Sprawdź teksty piosenek i albumy dodane w ciągu ostatnich 7 dni