36
Rap
Tekst piosenki
[Intro: Masebo]
Kila nikiwa mbali na wewe
Waonesha kunipenda baby
Ila nikiwa karibu nawe
Wanionyesha kunichukia kwanini
I’m confused x 10
[Verse 1: Salmin Swaggz]
I know we, can’t be the same as we used to
But jua kwenye mapenzi we umeniweka mahabusu
Hua namind my own bizzz but, we unanihusu
I’m ready kwa chochote kama utaniruhusu
I wish I cut off the crap but my heart can’t free me
I gotta know, we una kisa gani na mimi
Kila nnapokusemesha baby unainama chini
You’re reason mi nakesha na wala hunipi umakini, why?
Najihisi kama nachanganywa na mizuka
Tangu uondoke hata jani likinigusa tu nashtuka
Najiuliza ulichokosa ukajitusu ukanitosa
Ukaniumiza sio kiduchu tena zaidi ya uzito wa kosa
Moyoni nakosa amani, mawazo juu yako mummy
Sina imani naanza kupadiss hata maskani
Phone hupatikani, nyumbani huonekani
Sometimes najiuliza hapa duniani nna mkosi gani?
[Hook: Masebo]
I’m confused x 10
[Verse 2: Salmin Swaggz]
Nduguzo wanasema mi bonge la threat
Wananiona kumbi nyingi za starehe nakucheat
Kama kumbi za starehe nakubali, I admit it
Most hua nakua mwenyewe no girls that I’ll be with
Huamini nnachosema ila unaamini wanachosema
Bila mimi, uliniahidi utajiua mapema
Wanasema mi ni nyoka kadri sumu nnavyotema
Na ntafurahi utapoondoka uwe kinyume ya chanda chema
Baby, nna damu najua nini maumivu
The way tunavyokwenda utaja niua kwa wivu
Mi ntatenda utachopenda ntarudisha usikivu
Daima mi ntakupenda basi kua mvumilivu
Siwezi kusema siwezi kuishi bila wewe
Basi sema, what should I do labda ndo unielewe?
Chanda chema, umeninyima pete ungeniambia mapema
Maana Nahisi nna sababu ya kusema kua sitokuja penda tena
[Hook: Masebo]
Naona kama nachanganyikiwa
Naona kama sipati raha...
(You confuse me...I'm confused right now) x 2
(Please baby don't do like that to me yeah) x 2
[Hook: Masebo]
I'm confused x 10
Tłumaczenie
Brak
Polecani artyści
Najnowsze teksty piosenek
Sprawdź teksty piosenek i albumy dodane w ciągu ostatnich 7 dni