![Rabbit - Adisia - Tekst piosenki, lyrics - teksciki.pl](https://teksciki.pl/storage/images/no-image.png?size=320x320)
Adisia
Rabbit
23
Rap
Tekst piosenki
[HOOK]
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia
[VERSE 1]
Niliwaachia wa-run Nai, na Daresalaam
Mi na-fly over sky, nikepewa njugu karanga
Na ma-hostess wanadai, we love your album
Kalongo ni ya mama pima, na hype niliachia Williams
Nimejipin kama nappy, sling kama babby
Hata waki-buy over-over, hawaezi copy
Naskia kuna tumbili zinacheka na rasa national Park
Saa hizo ma-groupie wananipapasa wakinipikia lunch
Kabla sijatoa ngoma, ma-DJ wanaipea promo
Wasanii wa-slim wanafura,Utadhani ni wanono
Wananimwagia chumvi, ndio ni-slow kama konokono
Me ni sunguch, mi nitamake steps nono-nono
Bado me m-tight kama budget ya msee amesota
Na-dunda kama msee mfuko yake imetoboka
Wonder-boy, mjanjess, paraphernalia
Hizo keybpoard tamu, lakini, Kanyeria
[HOOK]
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia
[VERSE 2]
Nilikua na mistari nadai kusieze kama Julio
Hata kama talk is cheap, walidai ganji za studio
Laser lights kwa club utadhani sniper wanasaka killers
Na hawa madem wameni-kaba utadhani ni game ya mpira
Wewe ni m-special kama offer, na umeji-bebea virago
So special, nilikuona kwa video ya Mavado
Since sikunywagi (waiter tot ya avocado)
Madem bado huni-admire, ndio Size 8 alishika fire
Na wewe kusema Rabbit sio king (una-preach to the choir)
Nina shida ya macho, me siwezi kuonea wivu (aje)
Hauna mbolea hauna mistari, shake yako haina wolves
Ati skills kali, (ati) ati wa-hot poker
(ati) ati snails zao, huwa zina-swim kwa salt water
(ati) ulimi zao, ndio mahali mistari hudondoka
Ni ma-MC wana-wonder na hit moja, then wao missing
Kama MP wangu au C-zars, na Joe Hamisi
[HOOK]
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia
[VERSE 3]
Sahii nashugulikia mother anything, ndio akue happy
Come uone jikoni yake, utai-confuse na shelves za Tuskys
Ma-shamba boy na ma-shamba girl, na hata hatuna shamba
Ma-fans nawapa classics, juu walinipa taji
Saa hizo hits zinajifwata, wanadai niko over-fertile
Beenie, big meeting ni suti na tie
Kile na-spit ni sick, lazima wai-tweet pick
Talk of the city, hauezi ni-tooth pick
Na shati haiwezi itwa sweater hata iki-shonwa na uzi nzito
Full stop haimaanishangi, stori imefika mwisho
Utamu wa hustle ni noti, utamu wa plaka ni
Na hii respect nili-earn, sikuibuy kwa shop
Ati Matata nipe respect, maziwa mbili na lollypop
Maboys wanadoz mchana, ati usiku wako night-shift
Nikitoka hustle wanadai, “oya nice kicks!”
Hebu nione kama zina-fit, alafu hizo maganji Rabbit
[HOOK]
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia
Tłumaczenie
Brak
Polecani artyści
Najnowsze teksty piosenek
Sprawdź teksty piosenek i albumy dodane w ciągu ostatnich 7 dni