Fit
OMG Tanzania
105
Rap
Tekst piosenki
[Intro] – Quick Rocka
Ha ha ha haa, introducing to you, OMG, rap
[Verse 1] – Salmin Swaggz
Kwenye game ningetoka zamani wangejua mi flani ila sema nyumbani walikaza
Kabla hawajajua mitaani mic nilitamani like niko gizani mi nawaza
Walitaka niwe rubani, not this
Na kichwani mi nna miplani, not this
Zile dream za akina nani zilikufa zamani maana haiwezekani like this
One for the money, nigga you know
Two for the show kokote we go
Three for the dough na shopping k-koo
Nipe beat from store you know that we blow
Kila ninachokisema brother kipo
Huwezi kushindana na watu people
Wanaturn viatu kwenye mshiko
Mi naturn to chatu kamwe sipo, back with it
I feel good maana mi MC
Japo story zangu hazijafika TMZ
Ukiniset nalipuka kama TNT
Naacha rap inalia kama PNC
Kila nikitema shit wanasema naikula beat wanataka nivute siti nikauze Mlimani City
Wanajua siwezi repeat kwa maana ikitoka hit, we unataka kunicheat
Ma nigga you can’t fit..
Fit (repeatedly)
[Hook] – Ben Pol
[Verse 2] – Young Lunya
Round two, nakaza miguu, sema tema shit you know we be coming atchu
Mi mtoto wa kitaa zamani sikupenda makuu
Sitaki passport nilivyo tu nshakwenda majuu
King Luffa anajua mi nafanya hivi everyday
Haters wanadoubt kwamba nimetease anyway
Namix flow kama vile Chizan Brain
Tollywood, nikianza za kuigiza ni we
JB au Ray Kigosi, nianze kuoga Coco maana bafu haitoi mikosi
Niache kula ukoko nile vitu stimu sikosi
Niache kwenda local niwe na Sheshe niishi kibosi
Ama, nianze kupiga kopo kali baada ya kopo kali niwe na fans wa kitaa
Maana hapa niko na vocal kali nipe na moto kali nile matizi ya gitaa
Kujafanya wajua, tunajua kuchana what next you know about we?
Kujifanya wajua mazigi na mazaga what next you know about weed?
Kujifanya wajua kila demu wa mwana what next you know about Leed..?
Kujifanya wanijua jua sana what next you know about me..?
Fit (repeatedly)
[Hook] – Ben Pol
[Verse 3] – Con Boi
Round three, the boy is deep
Kila nnachochana kwenu is like food to eat
Kila nnachoandika kwenu is like book to read
Na hiki kiatu nimevaa it’s not easy to fit
Easy to speak, kwa mimi it’s not easy to be
Hata kiti nimekaa is not easy to seat
Hata miwani nimevaa is not easy to see
Na hata hapa tumefika it’s not easy to reach
Yeah, so you can see that, OMG that’s we, yeah we keepin’ it real you lame stay back
Don’t believe that? Weka your best team wafanye remix in this track
Uone who’s wack, who’s real who’s not, who could kill this track
Japo tunafanya peace track, ila wenye upeo mdogo watahisi tunafanya diss track
Kuna siku nilikua nawaza, nitapata kitu au najipumbaza
Ila nikagundua ishu kuendelea kukaza
Kuepuka upotofu na uchafu niliojijaza
Maana kila rapper anataka kujiona father
Mara kila charter inahitaji kufika further
Wengi wanatamani kuchana like no other
Hii inaitwa rap kwa wanaopenda kipaza, nigga
Fit (repeatedly)
[Hook] – Ben Pol
Tłumaczenie
Brak
Polecani artyści
Najnowsze teksty piosenek
Sprawdź teksty piosenek i albumy dodane w ciągu ostatnich 7 dni